Katibu
Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel
akikabidhiwa funguo za Magari Matatu mapya aina ya Suzuki Ertiga
(yaliyonunuliwa na Sekta ya Mifugo) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Raslimali Watu (Mifugo), Bi. Josephine Temihango kwa ajili ya matumizi ya
kikazi katika Wizara hiyo. Zoezi hilo la makabidhiano limefanyika katika
viwanja vya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mji wa Serikali - Mtumba Jijini Dodoma.
(02.02.2021).
Katibu
Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye
suti nyeusi) akikabidhi funguo za Magari madogo matatu aina ya Suzuki Ertiga
yaliyonunuliwa Sekta ya Mifugo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za
Manunuzi, Bw. Emmanuel Mayage (picha ya kwanza juu kushoto), Mkuu wa Kitengo
cha Ukaguzi wa Ndani, Bi. Selina Warioba (picha ya pili juu kulia) na picha ya chini
ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Bi. Rehema Mbulalina.
Makabidhiano hayo ya magari yamefanyika katika viwanja vya Wizara hiyo
vilivyopo katika Mji wa Serikali - Mtumba, Jijini Dodoma (02.02.2021).

Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na
baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo mara baada ya kukabidhi funguo za magari
madogo mapya aina ya Suzuki Ertiga kwa
Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano, Ukaguzi wa Ndani na Manunuzi katika viwanja
vya Wizara hiyo vilivyopo kwenye mji wa
Serikali - Mtumba, Jijini Dodoma. (02.02.2021).

Picha
ya pamoja kati ya Katibu Mkuu Wizara ya
Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyevaa suti nyeusi
katikati) na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo mara baada ya kumalizika kwa
makabidhiano ya magari katika viwanja vya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mji
wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma.
(02.02.2021)
Magari
matatu madogo mapya aina ya Suzuki Ertiga yaliyonunuliwa na Wizara ya Mifugo na
Uvuvi (Sekta ya Mifugo) kwa ajili ya matumizi ya ofisi na kugawiwa kwa kwa
vitengo vya Mawasiliano Serikalini, Manunuzi na Ukakaguzi wa ndani.
(02.02.2021)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni