Nav bar

Jumatano, 11 Oktoba 2017

MHE.LUHAGA J. MPINA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA NAIBU WAZIRI MHE. ABDALLAH ULEGA WAPOKELEWA WIZARANI BAADA YA KUTEULIWA NA MHE RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOFANYIKA MVUVI HOUSE



Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akipokea shada la maua kutoka kwa Afisa Utumishi Bi. suzy kwa ajili kumpongeza na kumpokea katika Wizarani

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akipokea shada la maua kutoka kwa Afisa Utumishi Bi. suzy na akipongezwa na kupokelewa kwa shangwe Wizarani

Mhe. Naibu Waziri akipongezwa na kukaribishwana Makatibu Wakuu kulia Dkt. Mary Mashingo(MIFUGO) akiwa na Dkt. Yohana Budeba (Uvuvi) 


Watumishi wakimshangilia Mhe. Naibu Waziri baada ya kuwasili



Waheshimiwa Waziri na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi wakitoa shukrani kwa kupokelewa vizuri na kusisitiza kufanya kaz kwa kasi


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni