Jumatatu, 27 Juni 2016
ZIARA YA KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI DKT.YOHANA BUDEBA KATIKA MASHAMBA YA WAFUGAJI WA SAMAKI KIGAMBONI TAREHE 24/06/2016
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi anaeyeshughulikia sekta ya (Uvuvi) Dkt. Yohana Budeba asaini kitabu cha wageni alipotembelea shamba la mfugaji Kigamboni |
Muonekano wa mabwawa ya samaki Kigamboni |
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akioneshwa mazingira ya bwawa la kufugia samaki na Mdau Bw. Abdul Kamugisha |
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akipewa maelezo na Bw. George mdau wa shamba la Aqua Big Fish |
Mazingira ya bwawa la Aqua Big Fish Kigamboni |
Samaki wanaofugwa aina ya Kambare |
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiangalia samaki aina ya sato waliofikisha wiki mbili (2) |
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiwa na Dkt. Maika Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye maji wakiangalia Sehemu ya kuhifadhia samaki baada ya kutotoleshwa ili waweze kukua kwa nafasi |
Alhamisi, 23 Juni 2016
SECOND TECHNICAL ADVISORY COMMITTEE MEETING HELD AT COLOSSEUM HOTEL, 23 JUNE 2016 DAR ES SALAAM.
TAC, ILRI and TLMP members discussing the technical issues and information which were collected and analysed by Livestock Master Plan formulated Team |
Mr. Stephen Micheal, TLMP coordinator presenting the Livestock Production, Household Economy and GDP - 2016 |
Members of TLMP , NGO's Research Institutions, Private Sector, and TAC concentrates on the speech presenting by the TAC member |
Group picture are the members of Ministry of Agriculture, livestock and Fisheries collaboration with TAC, TLMP, ILRI, team members held at Colosseum hotel, Dar es Salaam. |
Mr.Salim Mwinjaka member of TAC representing Chairperson (DPP) ending the meeting by advise the TAC members to move forward and comments should be taken on board. |
Ijumaa, 10 Juni 2016
MKUTANO WA MAMENEJA WA MASHAMBA YA LMU, NARCO NA MALISHO TAREHE 09 - 10/06/2016 ULIOFANYIKA DODOMA KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO N UVUVI.
Katibu Mkuu (M) Dkt. Mary Mashingo akisikiliza kwa makini taarifa ya utendaji kazi wa Mashamba na Ranchi kutoka kwa Mameneja mbalimbali. |
Bw. Israel Kilonzo Meneja wa shamba la kuzalisha Mitamba Sao Hill akitoa taarifa yake kuhusu mapato na changamoto za shamba kulia kwake ni Maafisa Mifugo |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)