Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2016

MKUTANO WA UWASILISHAJI WA MAELEZO YA BOTI ZA KISASA ZA DORIA KUTOKA ITALY

Picha
Baadhi ya wajumbe  wa wajumbe wa mkutano wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mh Wsaziri wa KMU( hayupo pichani )   Waziri wa KMU  Mh. Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kwenye mkutano Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu akiwa kwenye mkutano huu Mkurugenzi wa uvuvi katika Wizara ya KMU bwana Hosea Gonza Mbilinyi wa tatu kutoka kulia akimsikilza kwa makini mkuu wa jeshi la polisi Waziri wa KMU Mh Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kuhusu umuhimu wa boti hizo kwa ajili ya doria  Katibu Mkuu wa Wizara ya KMU (Uvuvi) Dr Yohana Budeba  kushoto akiwa na Mkurugenzi wa uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi kulia Wataalam kutoka kampuni ya   CMESCOMMANDMULTROLE-ULCRAFASTPACROLOAT kutoka kushoto ni Bw Aleksandr Zinrman na Bw Francisco Gargiulo Boti ya kisasa ya doria aina ya CMES 40 yenye uwezo wa kukimbia zaidi ya KM 160 kwa saa inayotarajiwa kununuliwa ikiwa kazini Bw Francisco ...

TRAINING WORKSHOP FOR THE STANDARD OPERATING PROCEDURES SOPs FOR EPIDEMIOLOGICAL, LABARATORY AND COMMUNICATION HELD AT GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL 22 - 23/02/2016

Picha
AU and  INTERAFRICAN Bureau for Animal Resource members take a picture  together with veterinary officers from different countries at giraffe hotel in Dar es salaam Mr. James wabacha a Project Coordinator talks about the Standard Method and Procedure in Animal Health SMP - AH project   Dr. Joram Mghwira - Assistant  Director in Transboundary animal disease control at Ministry of  Agriculture,Livestock and Fisheries and  Focal Point of SMP - AH project addressing participants during opening of SOPs workshop  Focal Point of this project Mr. Masambu explains about the role of SOPs in laboratory testing and diagnosis Discussing on reviewing of the SOPs

MKUTANO WA WAZIRI WA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI MHE.MWIGULU NCHEMBA ULIOFANYIKA 21/02/2016 KATIKA KIJIJI CHA DIHOMBO WILAYANI MVOMERO

Picha
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi  Mhe.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu cha wageni baada ya kufika katika kijiji cha Dihombo wilani Mvomero Mhe.Waziri  Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe Dr.Maria Mashingo katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Bi.Betty Mkwassa.        Baadhi ya wanachi wa vijiji vya Dihombo na                Kambala wakiwa tayari eneo la mkutano Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Bi Veronika  Kinyemi akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe.Betty Mkwassa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh.Betty Mkwassa akiwakaribisha wageni waliofika katika mkutano huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dr.Maria Mashingo akitambulisha wageni aliofuatana nao kutoka Wizarani Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Bw.George Lucas Mkindo akieleza mikakati waliyojipangia ili kutat...

MAAFISA WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WALIOPANDISHWA VYEO KUANZIA TAREHE 01/02/2016 KWA NGAZI MBALIMBALI KWA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI.

Picha
Benard N.Kaali- Mkuu wa kitengo cha Habari na  Mawasiliano Serikalini(HGCU) Dkt.Joram E.Mghwira -Mkurugenzi msaidizi wa Udhibiti wa Magonjwa ya Mlipuko ya Wanyama na Ukaguzi wa mifugo na mazao ya mifugo. Herman Lyimo-Mkuu wa kitengo cha Sheria(HLU) Nezarlon Israel kitosi-Mkurugenzi  msaidizi huduma za Ugani na Usajili wa Mifugo

UJUE MPANGO BUNIFU WA MODENIZASHENI WA SEKTA YA MIFUGO ULIOTAMBULISHWA KWA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA KANDA 7 ZA TANZANIA BARA

Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya  Mifugo imelenga kuleta mageuzi  makubwa yatakayoifanya sekta hii  kuwa na mchango chanya hivyo  kuchangia zaidi katika pato la taifa,  kuyakabili mahitaji ya soko na tija  kiuchumi, kijamii na uhifadhi wa  mazingira kwa maendeleo endel evu.  Mkakati huu umelenga kuzivuna  fursa katika sekta za nyama, maziwa  na kuku kwa kuimarisha usimamizi  wa mnyororo mzima wa thamani ili  kukabiliana na umaskini pamoja na  kufanya maboresho katika usalama  wa chakula, upatikanaji malisho  bora, ubora wa vinasaba kwenye  mifugo asilia, kupunguza migogoro  baina ya makundi ya wakulima, waf   ugaji na hifadhi, uhakika wa maji na  virutubisho vinginevyo.  Mkakati unalenga pia kutoa  majibu ya changamoto za vina saba katika mifugo asilia, ufugaji  na uthibiti wa magonjwa, uwepo  wa masoko ya uhakika, ubora na  usalama katika bidhaa za mifug...

WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WATAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA KUENDELEZA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI (MIKOA YA IRINGA, MBEYA,RUKWA NA RUVUMA M

Picha
Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma na Rukwa) nWakitambulishwa Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo ,Mkutano uliofanyika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mbeya Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Mbeya Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo Mwenye Miwani Katikati Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Iringa Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo  Mwenye Miwani Katikati Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Ruvuma  Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu Dkt Maria Mashingo na Mshauri Elekezi wa Mpango Bunifu Dkt Kaush Arha Nje ya Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mbeya