THE1ST FISH FOR TRADE AWARD IN EAST AFRICA WHICH HELD ON 25 NOVEMBER 2015 AT PROTEA HOTEL DAR ES SALAAM
Bi. toky kutoka Smart Fish Mauritius akiwa karibisha Washiriki katika mashindano hayo yaliyofanyika Protea Hotel (hawapo pichani) Bi. Mwanaidi Mlolwa Mkurugenzi msaidizi ubora wa mazao ya uvuvi akimkaribisha Mkurugenzi wa uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mkurugenzi wa Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi akiongea na washiriki njia bora za uzalishaji wa samaki Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akilezea kuhusu mafanikio ya mazao yatokanayo na uvuvi Bi. Suzan Muga Mchakataji wa dagaa wa kubanika na moshi kutoka Musoma akijitambulisha Mmoja wa Wahirki wa mashindano hayo Bi. Beatrice Mmbaga kutoka Musoma anachakata, kusafirisha na kuuza samaki na mazao yake akijitambulisha pia Bi. Silvia Dotto akijitambulisha ametokea Butimba Mwanza ni mchakataji wa dagaa za kuanika kwa jua Bi. Rosemary Luhasile kutoka Kikundi cha uchakataji dagaa kutoka Ukerewe Mwanza kisiwa cha Izinga m...