Mkurugenzi wa Uvuvi katika Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi akifungua Warsha ya Maafisa ukaguzi wa mazao ya Uvuvi wa kanda ya Ziwa mjini Shinyanga |
Washiriki wa Semina wakisikiliza mada kuhusu ubora wa samaki kutoka kwa Bw. Stephen Lukanga (hayupo picha) |
Msimamizi wa mradi wa Tsap Bw. Sephen Lukanga akifungua semina hiyo iliyofanyika Mwanza |
Bw. Masolwa mwanasheria akitoa mrejesho wasemina iliyopita |
Bw. Kenedy Kitunsa akitoa mada kuhusu sheria ya Uvuvi |
Wakili wa Serkali Bw. Robert Kidando akitoa mada kuhusu sheria ya Uvuvi |
Secretariat ya Warsha wakiwa kazini |
Mkurugenzi Msaidizi wa Uvuvi Bi Mwanaidi Mlolwa akitoa mada inayohusu warsha hiyo ilifonyika huko Shinyanga |
Bw. Stephen Lukanga akitoa ufafanuzi kwa Washiriki wa Warsha hiyo |
Picha ya pamoja ya Washiriki wa Warsha |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni