Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2015

ZIARA YA MHE. WAZIRI DKT TITUS KAMANI KATIKA SHAMBA LA NGURUWE TANDAN LTD - MKURANGA TAREHE 31/08/2015

Picha
Waziri wa Maendeleo ya Miugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni mara tu alipofika TANDAN FARMS LIMITED Mkuranga Nguruwe aina ya white large kutoka Denmark katika shamba la Tandan Farms Ltd Nguruwe akinyonyesha watoto wake Mkurugenzi wa TANDAN FARMS LTD Bw. Nicholaus Kampa katikati akitoa maelezo mafupi kwa Mhe. Waziri kuhusu ufugaji wa Nguruwe Muonekano wa banda noja wapo la Nguruwe  lililopo Mkuranga Nguruwe aina ya Durock kutoka Denmark katika shamba la Tandan Farms Ltd Waziri wa Maendeleo ya Miugo na Uvuvi Dkt. Titus Kaman akijibu maswali kutoka waandishi wa habari kuhusu uendelezaji wa ufugaji wa nguruwe

ZIARA YA MHE WAZIRI KATIKA RANCHI YA RUVU NA SHAMBA LA MIFUGO LA NGERENGERE TAREHE 27/08/2015

Picha

THE 1ST e GOVERNMENT ANNUAL CONFERENCE 2015 AT AICC ARUSHA 17TH-20TH AUGUST 2015

Picha
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bw. Hab Mkwizu akifungua  rasmi The 1st e Government annual Conference 2015 AICC Arusha katika ukumbi wa Simba hall Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao Dr. Jabiri K. Bakari akitoa maelezo mafupi kuhusu mkutano huo Bw. Tan Kim Leng kuoka Singapore akiwasilisha uzoefu wa Nchini Singapore jinsi walivyofanikiwa katika matumizi ya e Government Mkutano umepambwa na bidhaa mbalimbali za asili kutoka kwa Wajasiriamali Mkoani Arusha Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano wakifuatilia mada inayotolewea Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Edoh Mapunda akiwakaribisha Washiriki wa Mkutano Mgeni Rasmi Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bw. Hab Mkwizu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Habari          Mgeni rasmi  Bw. Hab Mkwizu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa TEHAMA

MHE. RAIS AFUNGA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANENAE 2015 KITAIFA MKOANI LINDI TAREHE 8/08/2015

Picha
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho kikwete  akitoa hotuba ya kuhitimisha Maonesho ya sikukuu ya Wakulima 2015 Kitaifa yaliyofanyika Mkoani lindi katika Viwanja vya Ngongo. Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiendelea kutoa hotuba  ya kuhitimisha Maonesho ya Nanenane ambapo pia alitumia fursa hiyo kuwaaga Wakulima na Wadau wa Kilimo kutokana na Sherehe za mwaka huu kuwa za mwisho katika kipindi chake cha Urais. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernad Membe akitaka tuimarishe ujirani mwema na Nchi Jirani kwa Maendeleo ya Wananchi wa Nchi zote Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mhe. Stephen M . Wasira Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika tayari kukabidhi  zawadi kwa Washindi wa maonesho hayo ya Wakulima na Wafugaji  Wizara ya Maendeleo ya  Mifugo na Uvuvi imepata ushindi wa pili wa Wizara za S...