Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2015

ROMWALD SHEMKAI ALIEKUWA AFISA UVUVI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO MKOA WA GEITA AFARIKI DUNIA JANA ASUBUHI TAREHE 26/07/2015 KWA AJALI YA PIKIPIKI AKITOKEA MUGANZA KWENDA CHATO.

Picha
Bw. Romwald Shemkai aliekuwa Afisa Uvuvi Halmashauri ya Chato Mkoa wa Geita afariki dunia jana asubuhi tarehe 26/07/2015 kwa ajali ya pikipiki akitokea Muganza kwenda Chato. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MRADI WA LIVESTOCK MODERNIZATION INITIATIVE

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa Makini Muendesha Mada ya Livestock Modenization Initiative Dkt. Kaush Arha  (hayupo pichani) Kama Utangulizi kabla ya Kuzindua Mpango huo katika Hoteli ya Kilimanjaro Jijini Dar-Es-Salaam Dkt Kaush Arha wakati akitoa Maelezo ya Utangulizi ya Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo (Livestock Modenization initiative) muda mfupi kabla ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Baadhi ya Washiriki wa Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo (Livestock Modenization initiative) Wakimsikilisha Muongoza Mada akitoa utangulizi wa Mpango huo.(hayupo pichani) Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba Akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani  kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. YOHANA BUDEBA AFANYA MKUTANO NA WATUMISHI WA FETA (WAKALA WA MAFUNZO YA ELIMU YA UVUVI ILIYOFANYIKA MBEGANI - BAGAMOYO

Picha
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba  kushoto Bi. Tabu Chando Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu akifatana na Mtendaji Mkuu wa FETA Bw. Yahaya Mgawe kushoto ni Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo II pamoja na Bw. ZK Makame Afisa Tawala Mkuu wakiangalia bwawa lenye vifaranga vya samaki  Moja kati ya bwawa la vifaranga vya samaki wa aina mbalimbali katika eneo la Mbegani Bagamoyo Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akiangalia moja kati ya bwawa la vifaranga vya samaki aina ya kambare jinsi  wanavyofugwa kulia ni Bi. Tabu Chando Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu akifuatana Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo II Idara ya Viumbe kwenye maji  kushoto ni Bw. Abdul Kashaija Pamoja Bw. ZK Makame Afisa Tawala pamoja na Mkuu Mtendaji Mkuu wa FETA Bw. Yahaya Mgawe  Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo  Idara ya Viumbe kwenye maji akimuelezea Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba uzalishwa...

ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. TITUS KAMANI ILIYOFANYIKA WILAYANI KITETO MKOA WA MANYARA NA KILINDI - TANGA KWA MADHUMUNI YA KUKAGUA UJENZI WA MABWAWA YA MAJI

Picha
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi Bw.Gaston Lugali akifafanua jambo linalohusiana na ujenzi wa bwawa la Kiteto katika kijiji cha OLPOPONG Bwawa la Maji katika Kijiji cha Olpopong lililochimbwa na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Wafugaji wa Kiteto wakisikiliza kwa makini hotuba inayotolewa na Mhe. Waziri (hayupo pichani) Pembezoni mwa bwawa la Maji Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bi. Anuciata Njombe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa bwawa (hayupo pichani) Mhe. Waziri Dkt. Titus Kamani akisalimiana na wafugaji wa Wilaya ya Kiteto Picha ya pamoja ya Mhe. Waziri Dkt. Titus Kamani kulia Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Kanali Nzoka anaefata ni Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi Bw. Gaston Lugali pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bi. Anuciata Njombe  Wakiwa pamoja na kamati ya ulinzi...