Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiangalia vielelezo anavyotumia katika kujibu Hoja na maswali ya Wabunge kuhusu Hotuba aliyowasilisha. Aliye naye ni Naibu Waziri Mhe Kaika Saning'o Telele ambaye ansisitiza Jambo Mhe Waziri akijibu Maswwali na Hoja za Wabunge Mkurugenzi Mkuuu NARCO Dkt John Mbogoma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Mhe. Waziri Kamani Akipongezwa na Wadau mbalimbali Mara Baada ya Kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma Mhe. Waziri Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe Kaika Telele , Wakurugenzi wa Wizara na Wadau wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi Mara baada ya kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge Mkurugenzi wa Manunuzi Bw Gaston Lugali akiwa na Mwanasheria wa Wizara Bw Herman Lyimo na Irene Lukindo Wakitoka ndani y...