Nav bar

Alhamisi, 26 Machi 2015

KIKAO CHA KUPITIA HOJA ZA WAVUVI WADOGOWADOGO BUNGENI DODOMA


Mkurugenzi wa Uvuvi Bw  Hosea Mbilinyi wa pili  kutoka kushoto akifatilia majibu ya Wavuvi yaliyochangiwa na Wakurugenzi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Katika picha kutoka kushoto Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi Bw Gastony Lugali, Mkurugenzi wa Utawala na  Rasilimali Watu  Bibi Tabu Chando, Kaimu Mtendaji Mkuu wa LITA Bibi Magreth Pallanjo  wakifatilia Majibu ya Hoja za Wavuvi Wadogo Wadogo hawapo pichani 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiongoja Mjadala wa Kutoa Majibu ya Hoja za Wavuvi  Wadogo Wadogo

Bibi Victoria Mwaikono akitoa huduma ya Viburudisho kwa Wakurugenzi  wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi 
Mkurugunzi wa Uzalishaji Viumbe kwenye Maji Dkt Charles Mahika anayefata Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza
Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombeanayefata Dkt Martin Ruheta wakifatilia Majibu ya Hoja za Wavuvi   Wadogo Wadogo Bungeni Dodoma
Afisa Uvuvi Bw Melikizedeki Kody na Bw  Katunzi waliopo mbele kushoto na kulia wakifatilia kwa Makini Hoja za Wavuvi Wadogo wadogoBungeni Dodoma
Maafisa Uvuvi Bibi Jorvis Mkuchu na Bibi Merinsiana Waandishi wa Majibu za  Hoja za Wavuvi Wadogowadogo zilizotolewa Bungeni Ddoma

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni