Bidhaa zitokanao na Nyama Zilizosindikwa kutoka Kampuni ya Scandia ya Rumania |
Bw. Rapes Popescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akifungua kopo lenye nyama iliosindikwa wakati wa kukutana na Wawekezaji wa bidhaa za nyama wa Tanzania |
Bw. Rapes Popescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akitoa maelezo kwa Wawekezaji wa bidhaa za nyama wa Tanzania (hawapo pichani) |
Bidhaa mbalimbali zitokanazo na Mifugo kutoka Rumania zilizofunguliwa kama sampuli za mfano kwa Wawekezaji wa Tanzania |
Bw. Rapes Popescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akitoa maelezo kwa Mwekezaji wa bidhaa za nyama wa Tanzania |
Bw. Rapes Popescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akitoa maelezo, na Wawekezaji wa Tanzania wakichukua sehemu ya bidhaa hizo kwaajili ya kula na kuona ubora wa bidhaa hizo |
Bw. Rapes Popescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akitoa maelezo kwa Afisa Mifugo Mkuu kutoka Idara ya Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bw. Nelson Kilongozi |
Bw. Haruna Muhobi kushoto na Bw. Mzava kutoka Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) wakila bidhaa za nyama kwaajili ya kuangalia ladha na ubora |
Afisa Mifugo Mkuu kutoka Idara ya Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bw. Nelson Kilongozi akila bidhaa zitokanazo na Mifugo kwaajili ya kuangilia ladha na ubora |
Bw. Micro Boattini Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akila nyama kuthibitisha Ubora na ladha nzuri za bidhaa za Rumania |
Bw. Andrei Ursulescu wa Kampuni ya Scandia kutoka Rumania akitoa maelezo kwa mmoja wa Wawekezaji wa bidhaa za nyama wa Tanzania |
Bw. John Chobo wa Kampuni ya Chobo Investment Co. Ltd akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezaji kutoka Rumania |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni