Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Scandia Bw. Micro Boattini na Rapes Popescu |
Wawekezaji wa Bidhaa za Nyama kutoka Tanzania kutoka kushoto ni Bw. Nashon Kalinga wa Kampuni ya Tanzania Meat Ltd ya Dodoma, Bw. Jeremia Temu wa Bodi ya Nyama Tanzania |
Katika picha ni Wawekezaji kutoka Kampuni ya Nyama Tanzania (NARCO) Bw. Haruna Muhomi, Bw. Mzava |
Akijitambulisha kwa Wawekezaji kutika Rumania (hawapo pichani) Bw. Mzava kutoka Kampuni ya Ranchi Tanzania (NARCO) |
Kushoto Muwekezaji kutoka Mwanza Bw. John Chobo wa Kampuni ya Chobo Investment Co. Ltd, katikati ni Bw. Nicholas Kampa wa Kampuni ya Tandan Farm Ltd ya Dar-es-salaam |
Kushoto Bw. Nelson Kilongozi Afisa Mifugo Mkuu na Bw. Peter Kingu Mkurugenzi Msaidizi Sera |
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Tanzania Dkt. Abdu Hyaghaimo |
Bw. Andrei Ursulesco kutoka Kampuni ya Scandia ya Rumania akitoa maelezo kwa Wawekezaji wa Bidhaa za Nyama Tanzania |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni