WAZIRI KAMANI ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI MKAKATI WA MAENDELEO WA SEKTA YA MIFUGO NAIROBI KENYA
Dkt . Titus Mlengeya Kamani (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Akishiriki Kwenye Mkutano wa Mawaziri Wenye Dhamana ya Sekta ya Mifugo.Kujadili Mkakati wa Maendeleo wa Sekta ya Mifugo Afrika kwa Kipindi cha 2015-2035 (The Livestock Development Strategy for Africa -LiDeSa 2015-2035). Katika ukumbi wa Mikutano wa AU-IBR Nairobi, Kenya. Picha ya Pamoja ya Washiriki wa Mkutano wa Kujadili Mkakati wa Maendeleo wa Sekta ya Mifugo Afrika kwa Kipindi cha 2015-2035 (The Livestock Development Strategy for Africa -LiDeSa 2015-2035). Katika ukumbi wa Mikutano wa AU-IBR Nairobi, Kenya.