Nav bar

Alhamisi, 23 Oktoba 2014

WAZIRI KAMANI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI TANZANIA JAAP FREDERICKS NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NMB MARK WIESSING OFISINI KWAKE.


Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Fredericks( kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Mark Wiessing walipowasili ofisini kwa  Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Dkt. Titus Kamani (MB) kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake.  

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Dkt. Titus Kamani (kulia) akiwa katika mazungumzo na wageni hao.
 Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe akiulimuuliza swali balozi huyo.


Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB. wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Uzalishaji viumbe kwenye Maji Dkt Hamis Nikuli alipokuwa akiwauliza swali. 
Bibi Theresia Mcha aliyeambatana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania

Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Dkt. Abdul Hyagaimo akiwa na Bibi Theresia Mcha. aliyeambatana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Dkt. Titus Kamani (MB) katikati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Fredericks (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Mark Wiessing mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwake.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni