Nav bar

Jumatano, 22 Oktoba 2014

Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bibi Melika Berak amtembela Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Ofisini kwake

                                                                                    
Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bibi Melika Berak wa kwanza kulia alipomtembelea Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Ofisini kwake hayupo pichani , pembeni yake ni Katibu wa Balozi Bibi Estelle Chalet
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamani alipokutana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Ofisini kwake Mvuvi House Dar-es-salaam

 
Mshauri Muelekezi wa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi Bernadette Majebelle katikati
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiwa katika kikao cha Balozi wa Ufaransa Ofisini kwa Waziri
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine Joseph akijitambulisha kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Baraka Mghulwi akijitambulisha

Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe akijitambulisha
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Uzalishaji Viumbe kwenye Maji Dkt Hamisi Nikuli akijitambulisha

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Kamaniakisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Ofisini kwake





Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji Viumbe kwenye Maji Bibi Ritha Male akimpa maelezo ya Muhtasari aliouwasilisha kwenye mazungumzo hayo, Anayemsikiliza ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani 
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bibi Melika Berak  Ofisini kwa Waziri


 Balozi akiagana na Mshauri Elekezi mbele ya Jengo la Mvuvi House Makao Makuu ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Temeke Dar-es-salaam


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni