Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2014

WIZARA YAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA MFUGAJI WA KUKU MIEMBE SABA - KIBAHA NOVEMBA 2, 2014

Picha
Mfugaji wa kuku Bibi Fransisca Macha akitoa maelezo kwa Waaandishi wa Habari (wapo nje ya banda ) Kuwa ana kuku 2200 na Kuku wanazalisha trei 21 kwa siku, Ameeleza Changamoto kubwa ni Soko  Sehemu ya Kuku wa Mayai wanaofugwa na Bibi Fransisca Macha Shamba hilo lipo eneo la Miembe Saba Kibaha   Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mohammed Bahari (mwenye suti katikati) akiwa na mfugaji wa kuku Miembe Saba- Kibaha  Mama Fransisca Macha (mwenye mtoto), Afisa Mawasiliano Bibi Judith Mhina, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko  Bibi Magreth Mkami, na kutoka kushoto ni Afisa Habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Fatma Salum na Dkt. Niwael Mtui Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti wa Magonjwa ya Mifugo na Usafirishaji wa Wanyama na Mazao yake. Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mohammed Bahari (mwenye suti kushoto) akizungumza na waandishi wa habari  nyumbani kwa mfug...

WAZIRI KAMANI ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI MKAKATI WA MAENDELEO WA SEKTA YA MIFUGO NAIROBI KENYA

Picha
Dkt . Titus Mlengeya Kamani (Mb)  Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Akishiriki   Kwenye Mkutano wa Mawaziri Wenye Dhamana ya Sekta ya Mifugo.Kujadili Mkakati wa Maendeleo wa Sekta ya Mifugo Afrika kwa Kipindi cha 2015-2035 (The Livestock Development Strategy for Africa -LiDeSa 2015-2035).  Katika ukumbi wa Mikutano wa AU-IBR Nairobi, Kenya.  Picha ya Pamoja ya Washiriki wa Mkutano wa Kujadili Mkakati wa Maendeleo wa Sekta  ya Mifugo Afrika kwa Kipindi cha 2015-2035 (The Livestock Development Strategy for Africa -LiDeSa 2015-2035).  Katika ukumbi wa Mikutano wa AU-IBR Nairobi, Kenya.   

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. YOHANA BUDEBA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YAKE KATIKA VIWANJA VYA MVUVI HOUSE 14/11/2014

Picha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba Akionyesha Kikombe kwa Juu Kama Ishara ya Furaha na Kuwapongeza Wachezaji Waliofanikisha Kupata Kikombe Hicho Ambacho ni cha Msindi wa Tatu Katika Mchezo wa Karata Mashindano ya Shimiwi Yaliyomalizika Mwezi Oktoba Morogoro Sherehe Hizo Fupi Zilifanyia Kwenye Uwanja wa Mvuvi House, Wakati wa Katibu Mkuu Kujitambulisha kwa Wfanyakazi wa Wizara     Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba Akimkabidhi Khatibu Muhtasi Bibi Mtage Kitule  Kikombe  cha Ushindi wa tatu cha Uchezaji Karata Kilichotolewa Wakati wa Mashindano ya Shimiwi yaliyomalizika mapema mwezi wa Oktoba 2014 Morogoro. Wakati wa Hafla fupi ya Kuzungumza na Wafanyakazi wa Wizara na na kuwapongeza kwa Ushindi huo  Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akifungu Mkutano Mfupi wa Kazi Uliomtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara Dkt Yohana Budeba a...