Nav bar

Jumatano, 6 Septemba 2023

WAZIRI ULEGA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA AFRICAN AGRICULTURAL TRANSFORMATION INITIATIVES

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya African Agricultural Transformation Initiatives (AATI), Bi. Safia Boly alipofika ofisini kwake jijini Dar es Salaam Septemba 2, 2023 kwa lengo la kujitambulisha na kuelezea juu ya  mradi wa mageuzi ya kilimo ambao  Taasisi hiyo inakusudia kuutekeleza hapa nchini kwa ajili kuinua sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akimueleza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya African Agricultural Transformation Initiatives (AATI), Bi. Safia Boly (katikati) alipofika ofisini kwake jijini Dar es Salaam Septemba 2, 2023 kwa lengo la kujitambulisha na kuelezea juu ya  mradi wa mageuzi ya kilimo ambao  Taasisi hiyo inakusudia kuutekeleza hapa nchini kwa ajili kuinua sekta za kilimo, mifugo na uvuvi. Mazungumzo hayo ni sehemu ya maandalizi kuelekea Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 5 hadi 8, 2023. Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Daniel Mushi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni