Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akifafanua mikakati na mipango mbalimbali ya Wizara wakati akiongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Mkutano na Wahariri hao kuhusu Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika. Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam Septemba 3, 2023.
Sehemu ya Wahariri wa Vyombo vya Habari wakimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (hayupo pichani) wakati akieleza mikakati na mipango ambayo wizara inayo katika kuendeleza Sekta za mifugo na uvuvi. Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam Septemba 3, 2023.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni