Afisa Uvuvi Mkuu kutoka Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) Bw. Mgalula Lyoba (kushoto) akitoa maelezo kuhusu shirika lao kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Ukuzaji viumbe maji, Dkt. Hamisi Nikuli (kulia) wakati alipotembelea banda lao wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Mteknolojia wa Chakula kutoka Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) Bw. Francisco Musa (kulia) akitoa elimu ya upimaji na utunzaji wa maziwa kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) Dkt. Pius Mwambele (kushoto) wakati alipotembelea banda la TDB wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni za Ranchi za Taifa Tanzania (NARCO), Prof. Peter Msofe akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Mdau wa Sekta ya Uvuvi kutoka Kampuni ya Abajuko Bw. Alex Chamshama (kushoto) akionyesha bidhaa walizonazo kwa wadau waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Mkemia kutoka Maabara ya Taifa ya Uvuvi (NFQCL) Bi. Elinjiwanza mshiu (kushoto), akitoa elimu juu ya usalama wa mazao ya uvuvi kabla ya kufika kwa mlaji - Sokoni kwa mdau aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023.
Afisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi wa Bahari Kuu (DSFA) Bw. Venance Cornel akitoa maelezo juu ya mamlaka yao kwa mdau aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Mdau wa Sekta ya Uvuvi Bw. Hatibu Issa (kushoto) akielezea umuhimu wa kuhifadhi mazalia ya samaki kwa mdau aliyetembelea banda la hifadhi za bahari na maeneo tengefu (MPRU) wakati wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba jijini Dar es salaam Julai 06,2023
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni