Nav bar

Ijumaa, 19 Mei 2023

VIONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAPEWA MAELEZO YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI (AFDP)

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb) (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe (wapili kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi wa mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya Kilimo Tanzania (IFAD) Bw. Robson Mutandi (watatu kushoto) akielezea kuhusu utekelezaji wa program ya kuendeleza kilimo na Uvuvi (AFDP) ambapo Timu ya IFAD Imeambatana na Timu ya uratibu wa Program kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu leo Tarehe 09.05.2023 katika Ofisi za Wizara zilizopo kwenye Jengo la NBC, Dodoma.


Sehemu ya washiriki wa kikao cha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (hayupo pichani) ambao ni Timu ya uratibu wa program kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu  na Timu ya mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya Kilimo Nchini (IFAD), kuhusu namna ya kufuatia utekelezaji wa program ya kuendeleza kilimo na Uvuvi Nchini. 09.05.2023 katika ukumbi wa NBC, Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni