Mtendaji Mkuu Msaidizi wa LVFO Dkt. Anthony Taabu-Munyaho (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi (National focal Persons) mara baada ya kufungua kikao cha Kutathmini mradi wa Ukuzaji Viumbe Maji unaojulikana Kwa jina la TRUEFISH na Mradi huu unatekeleza kazi za kuainisha maeneo yanayofaa kwa ufugaji wa samaki kwenye vizimba, Kuwezesha vyuo vinavyotoa mafunzo ya ukuzaji viumbe maji (FETA), kutengeneza mkakati wa kusimamia afya ya viumbe maji na Kuimarisha mahusiano/mifumo ya biashara ya wafugaji samaki katika Afrika Mashariki, kikao kinafanyika Kisumu Kenya (03 - 06 Mei 2023), wa kwanza kulia ni Mratibu wa Mradi huo Dkt. Elysee Nzohabonayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni