Nav bar

Alhamisi, 13 Aprili 2023

ULEGA AKAGUA MIUNDOMBINU ILIYOWEKWA KWA AJILI YA VIJANA WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO (ATAMIZI) YA KUNENEPESHA MIFUGO

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akikagua ng'ombe walionunuliwa na vijana wanaofanya mafunzo ya atamizi ya unenepeshaji mifugo katika shamba la Mabuki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Philip Mpango atakayoifanya shambani hapo Aprili 11, 2023. Mhe. Ulega alifanya ukaguzi katika Shamba hilo lililopo Mkoani Mwanza Aprili 10, 2023. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akikagua miundombinu iliyopo katika shamba la Mabuki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango atakayoifanya shambani hapo Aprili 11, 2023. Mhe. Ulega alifanya ukaguzi katika Shamba hilo lililopo Mkoani Mwanza Aprili 10, 2023. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, (Sekta ya Mifugo), Dkt. Daniel Mushi.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiongea na vijana wanaofanya mafunzo ya atamizi ya unenepeshaji wa Mifugo katika shamba la Mabuki alipowatembelea ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango atakayoifanya shambani hapo Aprili 11, 2023. Mhe. Ulega aliwatembelea vijana hao waliopo katika  Shamba hilo lililopo Mkoani Mwanza Aprili 10, 2023.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo vya Mafunzo (LITA), Dkt. Pius Mwambene (kulia) alipokuwa akimueleza kuhusu Miundombinu iliyowekwa katika Shamba la Mabuki kwa ajili ya vijana wanaofanya mafunzo ya atamizi ya kunenepesha mifugo. Mhe. Ulega alitembelea Shamba hilo Aprili 10, 2023 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango atakayoifanya Aprili 11, 2023. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Sekta ya Mifugo), Dkt. Daniel Mushi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni