Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah,(wa mbele katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe walioshiriki kwenye kikao cha kupitia na kurasimisha rasimu ya Vijarida sera vilivyoandaliwa na wataalam kutoka sekta ya uvuvi na kuwezeshwa na wataalam kutoka COSTECH. kikao hicho kimefanyika Jijini Dodoma, 12 Disemba 2022.
Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, mafunzo na Ugani (DRTE) sekta ya Uvuvi, Prof. Mohamed Sheikh (katikati) akiwa anaongea na wajumbe (hawapo pichani) walioshiriki kikao cha kupitia na kurasimisha rasimu ya vijarida sera, (kushoto) ni katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi sekta ya Uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah, kikao hicho kimefanyika katika ofisi za wizara zilizopo NBC, Dodoma 12 Disemba 2022.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uvuvi, (TAFIRI) Dkt. Ismail Kimerei, (aliyesimama) akiwasilisha mada kwa wajumbe kwenye kikao cha kupitia na kurasimisha rasimu ya vijarida sera vilivyoandaliwa na wataalam kutoka sekta ya uvuvi na kutoka COSTECH. kikao hicho kimefanyika jijini Dodoma, 12 Disemba 2022.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni