Nav bar

Jumatano, 7 Desemba 2022

DKT. TAMATAMAH AFUNGUA MAFUNZO YA KUONGEZA UELEWA WA SHIRIKA LA BIASHARA DUNIANI (WTO)



Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akiongea wakati akifunga Mafunzo ya Kuongeza Uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea kwa Maafisa wa Serikali na Taasisi Binafsi  yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022.



Afisa Uvuvi Mkuu, ambaye pia ni Mratibu wa  Mafunzo ya kuongeza uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea, Melkizedeck Koddy akitoa maelezo mafupi kuhusu mafunzo yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022.




Mwakilishi wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), Bi. Anneke Hamilton(kulia) akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah (kushoto) kufunga mafunzo ya kuongeza uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022.

Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo mmoja wa  Washiriki wa mafunzo ya kuongeza uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022.

Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya kuongeza uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea wakiwa katika kikundi cha majadiliano  wakati wa Mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022.

Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah (wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa mafunzo ya kuongeza uelewa wa Mkataba wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) hususan kuhusu Usalama wa Chakula, Afya ya Wanyama na Mimea kwa Maafisa wa Serikali na Sekta Binafsi yaliyofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 29 hadi Disemba 1, 2022. Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), Anneke Hamilton. Kulia kwake ni Mwakilishi wa Taasisi ya Kukuza Biashara ya Afrika Mashariki (TMEA).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni