Nav bar

Jumatano, 21 Septemba 2022

DKT. ASIMWE AWAELEZA WANAHABARI MIPANGO YA WIZARA KATIKA KUDHIBITI MIGOGORO YA WAFUGAJI NA WATUMIAJI WENGINE WA ARDHI

 


Mkurugenzi wa uendelezaji wa maeneo malisho na vyakula vya Wanyama, Dkt. Asimwe Rweguza (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari,  nje ya ofisi jengo la NBC, Dodoma, mara baada ya kumaliza kikao cha muda mfupi ofisini kwake, leo 08.09.2022.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni