Nav bar

Ijumaa, 26 Agosti 2022

KIKAO CHA KUHUISHA MPANGO KAZI WA TAIFA WA UTEKELEZAJI WA UDHIBITI WA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA (NAP-AMR)

 

Afisa uratibu wa udhibiti wa usugu wa vimelea vya magonjwa (AMR), Dkt. Gibonce Kayuni akiongoza kikao cha kuhuisha mpango kazi wa Taifa wa utekelezaji wa udhibiti wa usugu wa vimelea vya magonjwa (NAP-AMR). Kikao hicho kinachohusisha wataalam kutoka Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali kimefanyika  kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar Es Salaam leo (15.8.2022)

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Afisa Uratibu wa udhibiti wa usugu wa vimelea vya magonjwa (AMR),Dkt. Gibonce Kayuni (hayupo pichani) akiongoza kikao cha kuhuisha mpango kazi wa Taifa wa utekelezaji wa udhibiti wa usugu wa vimelea vya magonjwa (NAP-AMR). Kikao hicho kinachohusisha wataalam kutoka Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali kimefanyika kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar Es Salaam leo (15.8.2022)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni