Katibu Mkuu,
Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akiongea na wafawidhi
wanaozalisha vifaranga vya samaki na kukusanya maduhuli (hawapo pichani). Aidha
amewapongeza kwa kazi wanayofanya na kuwataka kufanya kazi kibiashara na
matokeo yaonekane na sio kufanya kazi kwa mazoea. Kikao hicho kilifanyika
Jijini Dodoma Septemba16, 2021.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafawidhi wanaozalisha vifaranga vya samaki na kukusanya maduhuli kwenye vituo mbalimbali vya Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji, Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Viumbe Maji, Dkt. Nazael Madalla na kulia ni Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji Baridi, Dkt. Imani Kapinga muda mfupi baada ya kumaliza kikao kilichofanyika Jijini Dodoma Septemba 16, 2021.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni