Nav bar

Jumanne, 1 Juni 2021

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI INAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAKAYA CONVENTION CENTRE TAREHE 01 - 05/06/2020 DODOMA

 

*Picha ya pamoja ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi  Huduma za Ugani Mifugo Dkt.Kejeri Gillah (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Mtafiti kutoka Taasisi ya ECHO Bw. Charles Shirima, Mkuu wa Kitengo cha Mazingira Uvuvi Bw. Melton Kalinga (mwenye Tshirt ya kijani) na Afisa Mazingira Jeremiah Legera Leo tarehe 02. 06. 2021 kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani inayofanyika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma*




















Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Hamad Hassan Chande akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtafiti Msaidizi wa Uvuvi Kutoka Taasisi ya utafiti wa Uvuvi 
(TAFIRI) Bw.Julius Assam juu ya athari za uchafuzi wa Mazingira kwenye sekta ya Uvuvi Leo tarehe 01.06. 2021 kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni