Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.
Luhaga Mpina akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mkalama katika kijiji cha
Kinyangiri wakati wa uzinduzi wa chanjo sita kati ya 13 za kimkakati uliofanyika
katika Kijiji cha Kinyangiri wilayani Mkalama. (10.07.2020)
Mkurugenzi wa Huduma za
Mifugo, Prof. Hezron Nonga kulia akitoa taarifa kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Luhaga Mpina wakati wa uzinduzi wa chanjo sita kati ya 13 za kimkakati
uliofanyika katika Kijiji cha Kinyangiri wilayani Mkalama. (10.07.2020)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.
Luhaga Mpina akishuhudia zoezi la uchanjaji wa ng’ombe wakati wa uzinduzi wa
chanjo sita kati ya 13 za kimkakati uliofanyika katika Kijiji cha Kinyangiri
wilayani Mkalama. (10.07.2020)
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama,
Mhandisi Jackson Masaka akitoa taarifa ya hali ya mifugo katika Wilaya kwa
Waizri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina katika Uzinduzi wa Chanjo ya
magonjwa 13 ya kimkakati uliofanyika katika Kijiji cha Kinyangiri wilayani
Mkalama. (10.07.2020)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni