keki zilizoandaliwa na Watumishi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ajili ya kuwaaga wastaafu wa Wizara hiyo iliyofanyika Mvuvi House Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert wakikata keki kwa pamoja iliyoandaliwa na Watumishi wa Wizara hiyo Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo wakilishana keki hiyo Mkurugenzi wa Utafiti wa mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo akizungumza machache na kuwaaga Watumishi wote kwa kushirikiana kufanya kazi kwa umoja na kuwatakia kila la kheri katika kujenga taifa Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali akitoa machache na kuwasihi watumishi kuwa na umoja na mshikaano ili kufikia malengo Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Mary Mashingo akilishwa keki na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo Katibu Mkuu Uvuvi...