Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2016

ZOEZI LA KUTOA VYETI KWA WATAALAMU WALIOFUZU KUTUMIA MASHINE ZA UHAKIKA UBORA WA VYAKULA ILIOFANYIKA TVLA TAREHE 08/04/2016

Picha
picha ya pamoja ni wahitimu waliojifunza kutumia vifaa vya kisasa vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo ambavyo vimefadhiliwa na mradi wa  US Grain katika Wakala wa Maabara ya mifugo Tanzania Mkurugenzi Mkuu Bw. Tokkie Groenewald  kutoka kampuni ya Simsoft Development akielezea umuhimu wa mashine hizo ambazo zinauwezo mkubwa wa kutoa majibu sahihi kwa sampuli mbalimbali Kipimo cha kutafiti Ureas katika soya Bw. Henry Mlundachuma akielezea matumizi ya kifaa cha kisasa katika kuhakiki ubora wa soya mmoja wa mtafiti akionesha PH - meter inayotumika kupimia ubora wa sampuli ya soya kama inafaa kutumika Kipimo cha NIR S inayotumika kupimia viinilishe vya kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo Bw. Henry Mlundachuma akipokea cheti baada ya kupata mafunzo kwa ajili ya kufahamu matumizi ya vifaa vya kisasa vilivyoletwa na kampuni ya  US grain    vya kuhakiki vyakula vya mifugo vinavyotengeneza na kampuni mbalimbali kukutumia vipimo...

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI WALIPOTEMBELEA RANCHI YA TAIFA YA NARCO TAREHE 05/04/2016

Picha
Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo akiwakaribisha wabunge katika Ranchi ya Narco kwa ajili ya kukagua miradi ya Maendeleo,kutoka kulia ni Mhe.Martha Mlata katibu wa kamati,Mhe.Mary Nagu mwenyekiti wa kamati na kushoto ni Maneger wa Ranchi za Taifa Dkt.Bwire kafumu Dkt. Bwire Kafumu akitoa maelezo mafupi ya Ranchi ya taifa ya Narco kwa kamati ya kudumu ya Bunge.  Wabunge wakiangalia moja ya bwawa lililopo ndani ya Ranchi hiyo( Bwawa halipo pichani) Bwawa  hili hutumika kunyweshea  maji mifugo iliyopo ndani ya   Ranchi ya Taifa ya Narco (Bwawa hilo linaitwa YUGO) Baadhi ya ng'ombe aina ya Bohorani waliopo katika Ranchi ya Taifa ya Narco                                       Wajumbe wa kamati ya Bunge ya kudumu wakiangalia ng'ombe (hawapo pichani) Kondoo waliopo katika Ranchi ya Taifa ya Narco Mbuzi ...

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO,UVUVI NA MAJI ILIYOFANYIKA KATIKA KITUO CHA KINGOLWIRA MOROGORO TAREHE 04/04/2016

Picha
Katibu Mkuu Dkt Yohana Budeba akisoma taarifa ya kituo cha ukuzaji na ufugaji samaki kingolwira Morogoro kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,mifugo,uvuvi na maji Baadhi ya Mabwawa ya samaki yaliyopo Kingolwira Morogoro Baadhi ya Matenki maalumu yaliyotengenezwa kitaalamu kwa ajili ya kuzalishia vifaranga vya samaki Kamati ya Bunge wakiaangalia vifaranga vya Samaki aina ya sato moja ya matenki yaliyopo katika kituo cha ukuzaji na uzalishaji samaki Kingolwira Katibu Mkuu  wa uvuvi Dkt Yohana Budeba akisalimiana na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge  ya kilimo,mifugo ,uvuvi na Maji  Mhe.Mary Nagu mara baada ya kufika katika kituo cha ukuzaji na Uzalishaji samaki Kingolwira. Mkurugenzi wa ukuzaji viumbe kwenye maji Dkt Charles Mahika akitoa maelezo mafupi katika chumba cha utotoreshaji vifaranga vya samaki na jinsi mfumo wa maji utakavyokuwa unafanya kazi Chumba cha Utotoreshaji vifaranga vya Samaki ...