Nav bar

Jumanne, 1 Machi 2016

NAIBU WAZIRI ATEMBELEA CHAMA CHA USHIRIKA SIHA KIYEYO RURAL CSR NA SANYA JUU MKOA WA KILIMANJARO TAREHE 29/02/2016

Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Sanya juu wamuomba Mhe. Naibu Waziri William Tate Ole Nasha kuwatatulia kero zao za muda mrefu

Moja kati ya bango ambalo wananchi waliandika kutokana na kuchoshwa kwa ubadhilifu wa mali za Ushirika


Mhe. Naibu Waziri William Tate Ole Nasha akiongea na wanachama wa Chama cha Ushirika cha Sanya Juu na kuwahakikishia kuwasaidia kero zao


Mkuu wa Wilaya ya Siha Bw. Charles Mligwa akiwakaribisha Wanachama wa Siha kutoa kero zao


Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Siha Kiyeyo Rural Cooperative Society Ltd wakisikiliza kwa makini maagizo kutoka kwa Naibu Waziri



Mwanachama wa Chama cha Ushirika cha Sanya Juu akitoa kero yake kwa Mhe Naibu Waziri


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni