WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA (GEITA, MWANZA, KAGERA,MARA,SIMIYU NA SHINYANGA) WATAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA MODENIZATION WA SEKTA YA MIFUGO
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Bedan Masuruli akifungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo Katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Mwanza, Ambapo alimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt Maria Mashingo.
Mshauri Elekezi wa Mpango Bunifu wa Modenization Dkt. Kaush Arha Akiwa Meza Kuu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti Mafunzo na Ugani Bw Hezironi Kitosi na Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw Deusdedit Rwezaura
wadau wa Sekta ya Mifugo Kanda ya Ziwa Wkimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw Deusdedit Rwezaura
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni