Nav bar

Jumatano, 10 Februari 2016

WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KANDA YA KASKAZINI MIKOA YA ( ARUSHA MANYARA NA KILIMANJARO) WAKITAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA MODENIZATION WA SEKTA YA MIFUGOYA SEK


Mpango Bunifu wa Modenization wa Sekta ya Mifugo Ukitambulishwa na Sekretariet ya Mpango Huo
Mmmoja wa Wataalam wa Mifugo Bibi Grace Mwaigomole
( aliyesimama) Akiwahudumia  Wadau wa Sekta ya Mifugo Waliohudhuria Kikao cha Kutambulishwa Mpango Bunifu wa Maendeleo wa Mifugo Katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Meza Kuu Kaimu Katibu Mkuuu Bibi Anuciata Njombe (wa pili kutoka kushoto)i katikati ni Mshauri Elekezi DKT  Kaush Arha,  pembeni yake Mkalimani na Mratibu wa Sekretariet ya Mpango Bunifu wa Maendeleo ya Mifugo wa Modenization DKT Hamza Mwamuhehe mwisho ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine Joseph (mwenye nguo nyekundu)   
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Mifugo Waliohudhuria Mkutano wa Mpango Bunifu wa Modenizasheni wa Sekta ya Mifugo Kanda ya Kaskazini yaani Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni