Nav bar

Jumanne, 16 Februari 2016

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA KANDA YA MAGHARIBI (MIKOA YA TABORA, KATAVI NA KIGOMA) WAKITAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA MODENIZATIONKaimu Katibu Mkuu Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. BedanMasuruli, pembeni yake ni Bw Victor Mwita Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko (mwenye suti ya Kaunda)  akisilkiliza kwa Makni Wadau wanaochangia Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo Wakatiwa Kutambulisha Mpango Bunifu wa Modenization Kanda ya Magharibi

Mmja ya Wadau wa Sekta ya Mifugo Akitoa Mchango wake wakati wa Kuchangia Mpango Bunifu wa Modenization

Wadau wa Sekta ya Mifugo wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu Hayupo Pichani
Add caption
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni