SHAMBA LA KUTOTOLESHA VIFARANGA VYA SAMAKI NA WATENGENEZAJI WA CHAKULA CHA SAMAKI EDEN AGRI-AQUA LTD PUGU KINYAMWEZI DAR-ES-SALAAM TANZANIA
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani mara baada ya kuwasili katika shamba la Eden Agri-Aqua LTD na kupokelewa na mwenyeji wake Bw William Bwemelo katika eneo la Pugu Kinyamwezi nje kidogo ya Jiji la Dar-es-salaam Waziri Kmani akaribishwa katika Ukumbi wa Mkutano wa shamba la Eden Agri-Aqua LTD Katibu wa Waziri Bw Eliukana Mwakipesile, akifatilia jambo wakati wa maelezo ya Mmiliki wa shamba la Eden kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani hayupo pichani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani akiangalia utotoleshaji wa vifaranga vya samaki aina ya perege kwenye shamba la Eden Agri-Aqua LTD lililopo nje kidogo mwa Jiji la Dar-es-salam Pugu Kinyamwezi Mmiliki wa shamba la Eden Bw William Bwemelo akimuonyesha Waziri Kamani Mtungo wa hewa ya Oxygen inayotumika kuweka kwenye vyombo vya kusafirishia vifaranga vya samaki wateja wanaponunua Meneja wa shamba la uzalisha...