|
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. MIZENGO KAYANZA PETER PINDA AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAKUU WA MIKOA NJE YA UKUMBI WA MALAIKA HOTELI WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO MWANZA MALAIKA HOTELI |
|
INSPECTA GENERALI WA POLISI TANZANIA MHE. ERNEST MANGU PIA ALIHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO PEMBENI YAKE NI MHE JAMES LEMBELI M/KITI WA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI NA MALI YA ASILI |
|
KATIBU MKUU WA WIZIRA YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI ALIYEMUWAKILISHA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WA KWANZA KUSHOTO |
|
MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ARDHI NA MALI YA ASILI MHE JAMES LIMBELI AKIFATILIA JAMBO WAKATI WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAYUPO PICHANI . |
|
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKIONGEA JAMBO NA KAIMU MKUU WA MKOA WA MWANZA MHE.PASCAL MABITI |
|
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MNE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKITOA HOTUBA KABLA YA KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAYUPO PICHANI KUSHOTO NI NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE ZAMBI, KATIKATI NI NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE HAIKA TELELE |
|
KUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE GODFREY ZAMBI WAKIFATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU WAKATI WA UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA HOTELI YA MALAIKA |
|
MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHE DKT AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU KAMA MUWAKILISHI WA MKUU WA MKOA WA IRINGA |
|
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA UKUMBI WA MALAIKA HOTELI -MWANZA |
|
KUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT
TITUS MLENGEYA KAMANI AKIWASILISHA HOTUBA YAKE KWA WAZIRI MKUU, HAYUPO PICHANI WAKATI WA
UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA
HOTELI YA MALAIKA |
KUSHOTO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT
TITUS MLENGEYA KAMANI NA NAIBU WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE
GODFREY ZAMBI WAKIFATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU WAKATI WA
UFUGUZI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANZA KATIKA
HOTELI YA MALAIKA
|
NAIBU WAZIRI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MTAA MHE AGGREY MWANRI AKITOA SALAM ZA WIZARA YAKE KWA NIABA YA WAZIRI KWA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO |
|
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO NA WATENDAJI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI MKUU |
|
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKIFATILIA JAMBO WAKATI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI HAYUPO PICHANI, AKITOA MAELEZO YA KUMKARIBISHA NA KUELEZA HALI YA SEKTA YA MIFUGO |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni