WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI MWENYE MIWANI KUTOKA KUSHOTO AKIANGALIA VIFARANGA VYA SAMAKI KATIKA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA HIVYO KILICHOPO MACHUI TANGA |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI WATATU KUSHOTO AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MKUU WA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA VYA SAMAKI WA MAJI CHUMVI BW ALI OMARY MACHUI TANGA |
MKUU WA KITUO CHA UZALISHAJI VIUMBE KWENYE MAJI MACHUI AKISOMA RISALA MBELE YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI ALIPOTEMBELEA KITUO HICHO |
MKUU WA KITUO CHA UHIFADHI WA BAHARI NA MAENEO TENGEFU WA KIGOMBE TANGA BIBI ANITA KILEO WA KWANZA KUSHOTO AKIFATILIA JAMBO WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI MWENYE MIWANI AKIONGEA NA WANANCHI WA KIGOMBE WALIOFIKA KWENYE KITUO CHA HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni