PEMBE ZA NG'OMBE AINA YA ANKOLE ZILIZOONGEZWA THAMANI
Pembe hizi hupatikana zaidi maeneo ya Magharibi mwa Tanzania ambapo Ng'ombe aina ya Ankole wanafugwa, "Tembelea maeneo ya Machinjio na Minada" zinapatika
 |
Picha zinazoonekana ni pembe za ng'ombe zilizoongezwa thamani kwa kutumika kama kishikia taa au kwa kingereza Lamp Holder |
 |
Urembo ni kitu muhimu kwa Mwanamke Bangili na Hereni zitokanazo na pembe za Ng'ombe Wajasiriamali Mpo''''''''''''''''''''''''''' | Wasiliana na Blog hii utapata bidhaa zitokanazo na Mifugo kama hizi. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni