Nav bar

Jumanne, 4 Februari 2014

SHEREHE YA KUWAAGA WASTAAFU WA IDARA YA UTAFITI, MAFUNZO NA UGANI

Wanaoonekana katika picha kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti Mafunzo na Ugani Dkt Mohammed Bahari wanaofatia ni Wastaafu Bibi Cristina Lyimo, Bibi Happyness Mnyachibwe na Dkt S. B. Meena 
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani wakifatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani
 
Katika picha ni Maafisa Ugani kushoto Bw Ivishai Matemba na kulia ni Bibi Mary Yongolo 
Katika picha kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Ugani na Usajili Bibi Magreth Bakuname katikati, Bibi Magreth ...............na wisho kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Dkt Lyimo
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara waliohudhuria sherehe za waastaafu wa Idara ya Utafiti , Mafunzo na Ugani.
Mkurugenzi Msaidizi akieleza jambo wakati wa sherehe za waastaafu wa idara ya DRTE

Bibi Vicky Mwaikono akikabidhi zawadi kwa mmojawapo wa Waastaafu  


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni