Mhe.Waziri wa MMUV Dk.Titus Mlengeya Kamani wa pili kutoka kushoto, Naibu katibu Mkuu wa kwanza kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Mifugo na Uvuvi Bw Seremala na kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia Munghanga
Hawa ni baadhi ya Wastaafu wa MMUV wakipiga makofi muda mfupi baada ya Mhe. Waziri wa MMUV kuwasili viwanja vya Wizara.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya MMUV wakiwa katika kikao kazi cha kumkaribisha Waziri wa MMUV Mhe. Dk. Titus Kamani Mlengeya na kuwaaaga wastaafu.
Hawa ni baadhi ya wakuu wa Idara wakiwa katika viwanja vya Wizara ya MMUV wakifuatilia kikao kazi.
Waziri wa MMUV Mhe.Dkt Titus Kamani wa pilikushoto , Naibu Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba wa kwanza kushoto wa tatu ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara Bw Seremala Mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia
Baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wakiwa katika viwanja vya Wizara ya MMUV wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Mgeni Rasmi. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
Baadhi ya wastaafu wakifuatilia jambo katika viwanj vya MMUV
Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa MMUV wakifuatilia jambo katika kikao
kazi cha kumkaribisha Waziri wa MMUV
Baadhi ya wafanyakazi wa MMUV wakifuatilia jambo katika kikao
kazi cha kumkaribisha Mhe. Waziri wa MMUVna kuaga wastaafu
Picha ya pamoja ya Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.
Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.
Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu.
Picha ya pamoja Mhe. Waziri wa MMUV, Viongozi wa Wizara na Wastaafu
Baadhi ya Watumishi waliostaafu wa MMUV Bi. Tatu Msala na Bi. Asha Kulumula.
Mkurugenzi Msaidizi wa Ugani na Usajili Bi. Magreth Bakuname wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wastaafu Bi Stela Bitende, Dkt Mercy Shekimweri.
|
Mtendaji Mkuu wa Ranchi za Taifa (NARCO) Dkt John Mbogoma akiongea na Wastaafu Dkt Meena na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Bibi Theresia Mughanga. |