Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akisaini Kitabu cha Maomboleza ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS) Bw.Tixon Tuyangine Nzunda jana tarehe 21 Juni, 2024 nyumbani kwake Goba, Dar es Salaam.