Nav bar

Ijumaa, 19 Mei 2023

DKT. MUSHI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE KUTOKA CHUO CHA SHANDONG CHA CHINA KUHUSU USHIRIKIANO BAINA YA CHUO HICHO NA WAKALA YA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi (katikati mbele) akifafanua jambo wakati wa kikao baina yake, baadhi ya watendaji wa sekta ya Mifugo  na ujumbe kutoka chuo cha Shandong cha China kilicholenga kujadili ushirikiano baina ya chuo hicho na Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) leo Mei 08, 2023, Mtumba jijini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni