Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Programu maalum ya Atamizi kwa upande wa Sekta ya Uvuvi kituo cha Eden jijini Dar-es-Salaam wakifuatilia maelekezo ya hatua za utotoleshaji wa mayai ya samaki leo (16.03.2023).
Kiongozi wa timu ya tathmini kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Bi. Yasinta Magesa (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Programu maalum ya Atamizi kwa upande wa sekta hiyo waliopo kituo cha Eden jijini Dar-es-Salaam leo (16.03.2023)
Timu ya tathmini kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), washiriki wa Mafunzo ya Programu maalum ya Atamizi (Uvuvi) wakiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza kufanya tathmini ya namna programu hiyo inavyoendelea kituoni hapo leo (16.03.2023), jijini Dar-es-salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni