Nav bar

Jumatano, 2 Novemba 2022

 

Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Bw. Emmanuel Kayuni akiongea wakati akifungua Warsha ya Wadau Kujadili Matokeo ya Utafiti wa Masuala ya Kijamii, Kazi yenye Staha na Haki za Binadamu inayofanyika Mkoani Singida kuanzia Oktoba 28-29, 2022.

Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Bw. Emmanuel Kayuni (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Warsha ya Wadau Kujadili Matokeo ya Utafiti wa Masuala ya Kijamii, Kazi yenye Staha na Haki za Binadamu inayofanyika Mkoani Singida kuanzia Oktoba 28-29, 2022. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uvuvi, Bw. Emmanuel Bulayi. Kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Uendelezaji wa Rasilimali za Uvuvi, Bw. Owen Kibona.

Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Kusimamia Uvuvi Mdogo, Bi. Upendo Hamidu akieleza jambo katika Warsha ya Wadau Kujadili Matokeo ya Utafiti wa Masuala ya Kijamii, Kazi yenye Staha na Haki za Binadamu inayofanyika Mkoani Singida kuanzia Oktoba 28-29, 2022.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni