Nav bar

Alhamisi, 22 Septemba 2022

DKT. KATAMBI AFUNGUA MAFUNZO YA UTAMBUZI WA MIFUGO KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

 

Dkt. Annette Kitambi Mkurugenzi wa Huduma za Ukaguzi na Ustawi wa Wanyama (AD ZISAW) kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) akifungua kikao cha Kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwa wataamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kilichofanyika siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.


Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) Dkt. Mwajuma C. Mohamed  akito elimu ya utambuzi na usajili wa Mifugo kwenye mfumo kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Meneja wa Maabara Kuu ya Mifugo (CVL) kutoka Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) Dkt. Goefrey Omarch akitoa maaelezo kuhusiana na kazi zinazofanywa na Maabara ya CVL pamoja na utaratibu unaotumika kuwasilisha sampuli kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa Magonjwa ya Wanyama na vyakula  kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Meneja wa Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa yanayoambukizwa na Bioteknolojia (CIDB) kutoka Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) Dkt. Jelly S. Chang’a akitoa maaelezo kuhusiana na kazi zinazofanywa na kituo cha CIDB, aina za chanjo zinazozalishwa na TVLA  pamoja na gharama za chanjo hizo kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Picha ya pamoja ya washiriki wa waliohudhuria kikao cha kutoa elimu ya utambuzi na usajili wa mifugo kwenye mfumo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC), Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Mikoa 3 ya Kanda ya Mashariki (Morogoro, Pwani na Dar es Salaam) pamoja na Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni (S & J Animal Tech) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Emmanuel Samweli Afisa TEHAMA kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi  akitoa elimu ya uingizwaji wa taarifa za Mifugo kwenye mfumo kwa kutumia program maalum kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Meneja Mkuu wa kampuni ya Uzalishaji na Usambazaji wa Hereni za Kielektroniko (S & J Animal Tech)   Mathias Mathias akitoa elimu ya namna ya uwekaji na usajali wa hereni kwa Mifugo aina ya  Ng’ombe na Mbuzi kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Afisa Mifugo kutoka Mkoa wa Dar es Salaam Odetha L. Mchunguzi akitoa maelezo kuhusiana na Mkoa wa Dar es Salaam ulivyotekeleza zoezi la uwekaji wa Hereni za Kielektroniki kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Afisa Mifugo kutoka Mkoa wa Pwani Elisante S. Qadwe akitoa maelezo kuhusiana na Mkoa wa Pwani ulivyotekeleza zoezi la uwekaji wa Hereni za Kielektroniki kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Afisa Mifugo kutoka Mkoa wa Morogoro Dkt. Gasper A. Msimbe akitoa maelezo kuhusiana na Mkoa wa Morogoro ulivyotekeleza zoezi la uwekaji wa Hereni za Kielektroniki kwa wataalamu wa mifugo kutoka Mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam pamoja na S & J Animal Tech (Wadau wanaohusika na uwekaji wa Hereni) kwenye kikao cha kanda ya Mashariki kwa ajili ya kutoa mafunzo ya utambuzi wa Mifugo kwa njia ya TEHAMA (uwekaji wa Hereni za Kielektroniki) kilichoandaliwa na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Temeke (ZVC) kwa kushirikiana na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) siku ya Septemba 9, 2022 kwenye ukumbi wa TVLA Temeke-Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni