WAZIRI MKUU AWAAGIZA MAAFISA MIFUGO WA WILAYA NA MIKOA KUCHAPA KAZI NA KUHAKIKISHA SEKTA YA MIFUGO INAKUWA NA TIJA
BAADHI YA MAAFISA MIFUGO KUTOKA WILAYA MBALIMBALI NA MIKOA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA (HAYUPO KWENYE PICHA ) BAADHI YA WAKURUGENZI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO KUTOKA WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU ILI AWEZE KUONGEA NA MAAFISA MIFUGO WAZIRI WA TAMISEMI MHE GEORGE SIMBACHAWENE AKIMKARIBISHA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA ILI AWEZE KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU AONGEE NA MAAFISA MIFUGO WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA AKIHUTUBIA MAAFISA MIFUGO WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA MIFUGO NA MASOKO BI.ANUSIATHA NJOMBE AKISOMA RISALA FUPI KABLA YA KUZINDUA MPANGO ENDELEVU WA KUENDELEZA MIFUGO NCHINI