Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2016

UTARATIBU WA KUPATA HUDUMA IDARA YA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI

 IDARA YA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji ina jukumu la kuratibu mazingira rafiki ya uwekezaji kwa kutoa miongozo mbalimbali kutegemea na aina za uwekezaji. Taratibu za uwekezaji zitafuata miongozo na taratibu zilizopo kulingana na viwango vilivyopo nchini na kimataifa pamoja na kuzingatia hifadhi ya mazingira na uendelezaji wa rasilimali za uvuvi (Fisheries Investment Guidelines and  The Environmental management Act). 1.0 Mchango wa Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji katika uwekezaji  Idara ina wajibu wa kutoa ushauri juu ya mambo mbalimbali katika uwekezaji ambayo ni pamoja na; Taratibu za kufuata kabla ya uwekezaji; Sheria zilizopo;   Eneo linalofaa kwa uwekezaji; Aina ya viumbe wanaofaa kufugwa/kulimwa kwa kufuata kanuni za .uvuvi na "FAO code of conduct for transfer of species" (1988); na Teknolojia sahihi ambazo hazina athari kwa mazingira, zinazofaa kiuchumi na zinazokubalika katika...

RE-ADVERTSEMENTOF EXPRESSION OF INTEREST FOR CONSULTANCY SERVICE Ref TENDER NO. ME/021/2015/2016/SWIOFish/C/104thNovember, 2016

Picha
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES Telegram: “Mifugo” Telephone:   255 0222861910 Fax: 255 0222861908 E-Mail: ps-ld@mifugo.go.tz                                                 In reply please quart:   Veterinary Complex, 131 Nelson Mandela Road, P.O. Box 9152, 15487 DAR ES SALAAM.                                           Ref TEND...

SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish) PROJECT- TENDER No.ME/021/2015-16/SWIOFish/C/10

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES (FISHERIES) SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish) PROJECT- IDA CREDIT No.5589-TZ RE - ADVETISE FOR EXPRESSIONS OF INTEREST Assignment Title :   PROVISION FOR CONSULTANCY SERVICE TO DEVELOP BUSINESS PLAN FOR NYAMISATI, KILINDONI AND MASOKO PWANI FISH LANDING SITES Reference No. TENDER No. ME/021/2015-16/SWIOFish/C/10 The Government of the United Republic of Tanzania has received financing from the World Bank toward the cost of the South West Indian Ocean Fisheries Governance and Shared Growth program – SWIOFish , and intends to apply part of the proceeds for consulting services. The consulting services (“the Services”) include 1.     Identify and analyze current demand for the landing sites and likely evolution of that demand over the next 5 years, including revenues earned from that demand and the cost...