Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2015

MAONESHO YA KIMATAIFA YA EXPO MILAN 2015 KATIKA ENEO LA RHO FIERA MJI WA MILAN ITALY KUANZIA TAREHE 15 - 20 /09/2015 KWA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

Picha
Washiriki kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi -Tanzania Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Wawakilishi wa UNIDO Italia na Watumishi wa Mgahawa wa Maabara ya Samaki wabichi Iliyopo Mji wa   PADOVA Mjasiriamali kutoka Tanzania Mdau wa Viungo vya Asili kutoka Mji Mkongwe Zanzibar Bw Ahmed Othman Akiuza Bidhaa zake Kwenye Banda ya Tanzania Milan Italy Wageni Mbalimbali wanaotembelea Banda la Tanzania na Kujionea Utajiri Mkubwa wa Rasilimali Zilizopo Tanzania Ambapo walipata Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Sera Mipango Mikakati na Fursa za Uwekekezaji Katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi Nchini Tanzania Bibi Lulu Massawe Mjasiriamali Kutoka Dar-es-Salaam Akiwa Katika Banda la Tanzania Akielezea Bidhaa za Viungo na Mazao Yanayozalishwa nchini Tanzania Hii Ikiwa ni Kutafuta Masoko ya Nje ya Nchi. Mjasiriamali Kutoka Dar-es-salaam Bw William Uiso Akinadi Bidhaa zake za Utamaduni, Kahawa  Kama Unavyomuona katika Picha    Familia ya ...