Balozi Joseph Ngiriwa mwenyekiti huru wa FAO COUNCILambaye amechagulliwa kwa kura zote jiji la Rome Italy |
Princess wa Uhispania ambaye amechaguliwa kuwa Balozi wa masuala ya chakula (Good Embassador - Nutrition wa FAO) akihutubia mkutano wa 39 wa FAO |
Wajumbe wa mkutano wa 39 wa FAO wakisimama kushangilia ushindi wa Balozi Joseph Ngiriwa |
Balozi wa Tanzania Nncho Itali Mhandisi Msekela akisalimia na mama wa kitanzania ambaye ni mtaalamu wa sheria wa Shirika la Kilimo na chakula la Umoja wa Mataifa, Rome Italia |
Mhe Joseph Ngiriwa akipongezwa na viongozi wengine jukwaa kuu baada ya kuchaguliwa kwa kura zote |
Katibu Mkuu wa Wizaraya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akiwa na baadhi ya wajumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 39 wa Shiriki la Chakula na Kilimo la umoja wa mataifa Rome Italy |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni